Jijini Mwanza kulitokea vurugu zilizoanzishwa na madereva wa Bodaboda baada ya kuchukizwa na patroo iliyokuwa inafanywa na Jeshi la Polisi kukamata madereva wote waliokuwa hawana leseni na wanaoendesha bila ya kuvaa vifaa vya kujikinga.Hali iliyozusha taharuki na kupelekea Jeshi la Polisi kutumia nguvu kuwatawanya madereva hao walio amua kuandamana na kufunga barabara kwa mawe.
(Picha na G Sengo Blog)

Post a Comment