Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MFARANSA WA SIMBA AINGIA MKATABA NA SIMBA LEO

 Kocha Mpya wa Klabu ya Simba mnyama mwenye makzi yake mtaa wa Msimbazi Mfaransa Patrick Liewing akitia sahihi mkataba mnono wa miezi nane leo katika Hotel Ya Spice,Lumumba Jijini Dar es Salaam huku Makamu Mwenyekiti wa Simba Sc.Ndg.Godfrey Nyange Kaburu akiangalia kwa makini.

Picha na Bongostaz blog.
 Mwenyekiti wa Simba Sc.Ndg.Godfrey Nyange Kaburu nae akisaini Mkataba huo kwa niaba ya Klabu ya simba Sc.Huku Katibu wa Simba SC.Ndg.Evodius Mtawala akiwaelekeza mahala pa kusaini nyuma ni Meneja wa Simba Ndg.Moshi Omary Mbury.

Picha na Bongo staz Blog
 Mwenyekiti wa Simba Sc.Ndg.Godfrey Nyange Kaburu akibadilishana mkataba na Mfaransa Patrick Liewing huku wakishuhudiwa na Katibu wa Simba Ndg.Evodius Mtawala Kushoto na Mzee Moshi Omary Mbury ambae ni meneja wa Klabu ya Simba.Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Spice,Lumumba Jijini Dares Salaam.
Mwanasheria wa Klabu ya Simba Allan Maduhu ,akigonga muhuri Mkataba huo baada ya pande zote mbili kusaini Mkataba huo.

PICHA NA BONG STAZ BLOG
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top