|
Makamu wa
kwanza wa rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad akisalimiana na Nahodha wa Simba
SC, Shomary Kapombe kabla ya mchezo wa jana wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya
Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri ya Pemba kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba ilishinda 4-2.
|
|
Makamu wa
kwanza wa rais wa Zanzibar, Seif Sharrif Hamad akisalimiana na kiungo wa Simba
SC, Kiggi Makassy, nyuma yake ni Haruna Moshi na Paul Ngalema kabla ya mchezo wa jana wa ufunguzi rasmi wa mashindano ya
Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri ya Pemba kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba ilishinda 4-2.
|
|
Mwenyekiti wa ZFA, Aman Ibrahim Makungu akisalimiana na mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu |
|
Makamu wa
kwanza wa rais wa Zanzibar, Seif Sharrif Hamad akipiga penalti jana katika ufunguzi rasmi wa mashindano ya
Kombe la Mapinduzi kabla ya mechi kati ya Simba SC na Jamhuri ya Pemba kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba ilishinda 4-2.
|
|
Kikosi chs Simba SC jana |
|
Mchezaji wa Jamhuri akigombea mpira na mchezaji wa Simba |
|
Mwinyi Kazimoto akimtoka mchezaji wa Jamhuri |
|
Miraj Adam akipanda kusaidia mashambulizi |
|
Shomary Kapombe akipambana na mchezaji wa Jamhuri |
|
Mchezaji wa Jamhuri akipambana na wachezaji wa Simba |
|
KIpa Jaffar Said wa Jamhuri akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Felix Sunzu huku akilindwa na beki wake |
|
Kizazaa langoni mwa Jamhuri |
|
Kiungo wa Simba, Haruna Chanongo akiifungia Simba bao la kwanza kwa kichwa |
|
Chanongo akimshukuru Kiggi Makassy kwa kupiga kona nzuri aliyoiunganisha nyavuni kwa kichwa (hapo juu) |
|
Simba SC wakishangilia ushindi wao jana.Picha na Bongo Staz Blog |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Thursday, January 3, 2013
Post a Comment