Umony akiwasili JKNIA, leo asubuhi tayari kuanza kazi Azam FC
Mshambuliaji
Brain Umony wa Azam FC alipowasili Uwanja wa Ndege JNIA leo asubuhi,
na kupokelewa na meneja wa timu Patrick Kahemele tayari kuanza kujifua na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Picha na Azam fc.
Post a Comment