Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:BALOZI MAAJAR AKIAGWA RASMI NA KUTUNUKIWA ZAWADI NA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

Shuhuli  maalimu alioandalia na wanaJumuiya ya DMV ya kumuanga rasmi  Mhe Mwanaidi Maajar kwa kazi nzuri ya ushirikiano na umoja aliotoa katika kuwaunganisha waTanzania waishio hapa DMV nchini Marekani kwa ukarimu wake mkubwa  Jumuiya ya waTanzania DMV pia imemtunukia zawadi mbali mbali kama shukurani kutoka kwa Jumuiya hiyo .

  
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akionekana  kubeba zawaidi aliyotunukiwa na Jumuiya ya waTanzania DMV Nchini Marekani

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi akiwahutubia wanaJumuiya ya Tanzania DMV ndani ya ukumbi wa  Campus Dr College Park Maryland Nchini Marekani

Uongozi mzima wa Jumuiya ya waTanzania DMV ukiwa pamoja na ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico kwenye meza ya pamoja

Watanzania mbali mbali kutoka DMV waliojitokeza  katika hafla ya kumuanga Balozi  Mhe. Mwanaidi Maajar

  
Mh.Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka, akiwa makini kumsikiliza, Mhe Balozi Maajar (Kulia) mshereheshaji wa hafla hiyo MC Mayor Mlima akisherehesha!

Mwanakamati wa Jumuiya Hamza Mwamoyo alipokua akifungua rasmi hafla hiyo ilioandalia na Jumuiya ya waTanzania DMV katika ukumbi wa Campus Dr College Park Maryland Nchini Marekani.

Brg. General Maganga pia aliagwa kwa kukabiziwa zawadi na Jumuiya ya waTanzania DMV kwa ushirikiano wa hali na mali katika muda wake wote alioishi hapa DMV alimkua mmoja wa washirikia katika hafla zote za waTanzania waishio hapa DMV

Wanakamati walioshuhulikia mpango mzima wa hafla ya kuagwa rasmi kwa  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi.
 
PICHA KWA HISANI YA  http://swahilivilla.blogspot.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top