Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BONGO ZAIDI YA UIJUAVYO FOLENI SI BARABARANI TU

Watu wakiwa kwenye foleni kusubiri lifti kwa ajili ya kwenda ofisi mbalimbali katika jengo la Kitega uchumi cha Shirika la Bima, jijini Dar es salaam leo. Huduma ya lifti kwenye jengo hilo imekuwa hafifu kidogo kutokana na kutumika lifiti moja kutokana na nyingine kuwa kwenye matengenezo. Jengo hilo lina ghorofa zaidi ya kumi.
Picha na Daily Nkoromo Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top