Wasanii Karim Suleiman ambaye ni mlemavu wa mguu
na Mohamed Ali wakionyesha umahiri wao wa kucheza Kiduku katika mkutano
wa hadhara uliofanywa na Mama Salma Kikwete kwenye Kata ya Ndoro, Lindi
mjini Februari 20, 2013.
Picha na Bashir Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi -CCM
Post a Comment