Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi wakati
alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya
Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na
watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Askofu wa
Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar
Augustino Shao wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini
Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha
maombolezi ya Padri Evarist Gabriel Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili
Mjini Zanzibar,ambapo alifika kutoa salamu ya mwisho kwa Padri
huyo,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino
Shao.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa
ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar wakati wa kutoa salamu ya
Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi
na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya
Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa
risasi na watu wasijuilikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini
Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa
Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
Post a Comment