Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:JAMAA AKIMALIZIA USINGIZI WAKE BAADA YA PILIKA ZA USIKU KUCHA

 Kijana akiwa anamalizia usingizi baada ya pilika za usiku kucha na kuamua kumalizia usingizi wake hapo ili japo aianze siku akiwa ''fresh''
 Hapa akiwa amebadilsiha staili ya kulala bila wasiwasi wowote
Jamaa pembeni yake(kulia) nae akishangaa  kijana huyo akikoroma kana kwamba ni usiku wa manane kumbe ni saa moja asubuhi.Hiyo ni Ubungo moja.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top