|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa
Rais, Bw. Sazi Salula akifungua Warsha ya Maafisa Mazingira wa
Majiji kuhusu kukuza uelewa wa kuandaa taarifa ya Hali ya
Mazingira kwa Majiji ya Mwanza,Arusha, Mbeya na Tanga. Warsha hiyo
iliyofanyika jijini Dar es Salaam
|
|
Baadhi ya Maafisa Mazingira wa Majiji Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais[pichani hayupo] alipokua anafungua Warsha ya Majiji
kuhusu Kukuza Uelewa wa Kuandaa Tarifa ya Hali ya Mazingira ya Majiji
iliiofanyika Jijini Dar es Salaam. |
|
Katibu Mkuu Ofis ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mwakilishi
wa Shirika la Kimataifa la Mazingia UNEP Bi Clara Makenya Mara baada ya
Ufunguzi wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira wa Majiji. Picha na Ali
Meja |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Friday, February 15, 2013
Post a Comment