Samwel Sitta
---
Mjadala
rasmi wa kuwachambua kwa kina watu wanaotegemewa (potential candidates)
kwa ajili ya nafasi ya uraisi 2015 umeanza. Tuna furaha kukaribisha
wadau wote kushiriki kutoa mawazo kupitia Funguka Forums (FF): www.fungukaforums.com.
Tunaanza
na mjadala huu kama ishara chanya ya ufunguzi wa mijadali makini na
yenye mashiko itakayofuatia hapa Funguka Forums (FF). Katika mjadala
huu, tunalenga kupata mawazo kuntu yatakayowasaidia siyo tu
wanaojadiliwa kuchukua uamuzi ulio bora katika maamuzi yao, bali pia
watakaowapendekeza na kuwachagua kama wagombea na hatimaye kuwapigia
kura katika nafasi hii ya juu nchini Tanzania. Tunawaomba na
kuwahimizeni mshiriki mijadala yetu bila kutumia lugha yenye ukakasi
wenye lengo la kuchafua hali ya hewa.
Kutokana
na ushahidi mbalimbali ulio na usio rasmi, tutawajadili kwa kina wale
wote tunaowadhania au tunaowategemea kwamba wana nia ya kushiriki Katika
Kinyanganyiro cha Kugombea Nafasi ya RAIS wa Tanzania - 2015. Katika
mlolongo huu wa mijadala, tunaanza na Mh. John Samuel Sitta....
Tafadhali endelea kusoma hapa: Mjadala Uraisi 2015.
Asante Sana
Funguka Forums Team
Post a Comment