Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakifyatua risasi baridi
hewani kuomboleza vifo vya askari 101 waliofariki katika Vita ya
Ukombozi Msumbiji (1970-1978), wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa
yaliyofanyika Naliendele Mjini Mtwara jana . Picha na Abdallah Bakari
Loading...
