Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa machinjio ya
kisasa katika mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma
Julai 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizundua mitambo ya kuzalisha umeme katika mji
mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 16, 2013.
Kushoto ni Naibu Wairi wa Nishati na Madini Stephen Masele. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiwashukuru wazee wa Mji Mdogo wa Namtumbo bada ya
kutawazwa kuwa moja wa wazee wa mji huo katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye uwanja wa michezo Julai 16, 2013. Alikuwa katika
ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mkulima stadi wa Namtumbo, Bosco
Luambano ambaye alimzawadia Waziri Mkuu mikungu miwili ya ndizi katika
mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Namtumbo. Alikuwa katika ziara
ya mkoa wa Ruvuma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment