Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa jana mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande
huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa jana akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es
Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari
ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari. Source: MICHUZI MEDIA


