Mkutano na Dr. Willibrod Slaa Jijini Washington DC
Viongozi na
wanachama wa CHADEMA DMV wanapenda kuwakaribisha Watanzania wote
Kuhudhuria mkutano na Dr. Willibrod Slaa utakaofanyika Siku ya Jumapili
September 22, 2013 Mida ya 1:pm Mchana hadi 6:pm
Adress: 1401 Unirvesty Blvd. Langley Park. Md 20783 (Mirage Hall)
Karibuni tuje tujadiliane kuhusu maendeleo ya nchi yetu.
Maelezo zaidi wasiliana na Liberatus Mwang'ombe (240) 423-3331 Baby Mgaza (202) 200-5031,
Hussein Kauzela (614) 653 - 1137
waTanzania wote mnakaribishwa