Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride maalum kabla ya kulihutubia Bunge mjini Dodoma jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha Wageni kwenye
Ofisi ya Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda (kushoto) huku Waziri Mkuu,Mh.
Mizengo Pinda akishuhudia.
Spika wa Bunge Anna Makinda akimaribisha Rais Kikwete kulihutubia Bunge.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.
Rais Wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal wakufuatilia hotuba ya Rais Kikwete kwa makini.
Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakifatilia Hotuba ya Mh. Rais.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anna Makinda
akimsindikiza Rais Kikwete nje ya Bunge baada ya kulihutubia leo mjini
Dodoma.
Rais
wa Muungano wa Jamhuri ya Tanzania ,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa
Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal
na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa katika picha ya Pamoja na Wabunge
Baada ya Rais Kulihutubia Bunge mjini Dodoma.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na kiongozi wa Kambi ya Upinzani
Bungeni Mhe.Freeman Mbowe baada ya Rais kulihutubia bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.
Spika
Mstaafu Pius Msekwa, Jaji Mkuu Othman Chande na Makamu wa Rais
Dkt.Mohamed Gharib Bilal wakimpongeza Rais Kikwete baada ya kulihutubia
Bunge leo mjini Dodoma.Picha na Freddy Maro.IKULU.