Mwenyekiti wa
Mashabiki wa Mbeya City, Wille Mastala akikabidhi Msaada wa Sabuni Sukar na
Poda kwa Muunguzi Mkuu Agnes Mwanga (kulia) kwa ajili ya akina mama
kwenye Hosptali Amana jijini Dar es Salaam jana. Picha na John Dande
Baadhi ya mashabiki wa Timu ya Mbeya City wakiwa
wamebeba Baadhi ya Vitu kwa ajili ya
Msaada wa wagonjwa wa kina mama wa Amana Hosptali jijini Dar es Salaa
jana