
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akipokea
rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge
maalum la Katiba kutoka kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba
katika Makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es
Salaam jana.