Mida hii tayari tupo jijini Nairobi,ningependa
nimshukuru Mungu kwa kuwezesha safari hii,na
kuweza kusafiri salama mimi na team yangu ya wasafi..
tumekuja Nairobi kwenye hafla ya
shirika la simu Kenya,Safari com
Hfla itafanyika ndani ya ukumbi wa ,Safari
calnivore,Nairobi...Juu ni baadhi ya picha za safari yetu toka Dar
PICHA KWA HISANI KUBWA YA WASAFI BLOG.