|
Mbunge wa Jimbo la Iringa
Mjini, Mch Peter Msigwa sambamba na mtuhumiwa mwingine
akiwa ndani ya mahakama
ya wilaya ya Iringa jana kabla ya kuahirishwa kwa kesi yake
ya kujeruhi mtu
|
|
Mbunge wa Jimbo la Iringa
Mjini, Mch Peter Msigwa akizungumza na wakili anayemtetea
katika
kesi yake ya kujeruhi mtu kwenye kampeni za siasa, Lwezaula Kaijage |
| Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa sambamba na mtuhumiwa mwingine akiingizwa mahakama ya wilaya ya Iringa jana kujibu mashataka ya kujeruhi yanayomkabili |
Post a Comment