Penati ya Santi Cazorla na goli la Kichwa cha Olivier Giroud vilitosha kabisa kuifanya Arsenal itoke kifua mbele katika Uwanja wa Etihad katika mchezo uliopigwa jana.
Ushindi huo umepunguza tofauti ya ponti ilikuwepo kati ya Arsenal na Man United na kuwa na tofauti ya pointi moja na kuibakiza Man City nyuma ya vinara Chelsea kwa ponti tano.
Man City wanakabiliwa na mechi nyingine muhimu sana na Chelsea mwishoni mwa wiki ambayo watatakiwa washinde ili waweze kupunguza tofauti ya pointi dhidi ya vinara hao wa Ligi ya EPL.
Manchester City:
Hart 6, Zabaleta 5.5, Kompany 5, Demichelis 5, Clichy 6, Fernandinho 4,
(Lampard 63, 6), Fernando 4, Jesus Navas 5 (Dzeko 76, 6), Silva 5.5,
Milner 6 (Jovetic 46, 6), Aguero 4.5.
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Sagna, Kolarov, Caballero, Mangala.
Waliopata kadi: Kompany, Fernandinho, Aguero.
Kocha: Manuel Pellegrini 4.
Arsenal:
Ospina 7, Bellerin 7, Mertesacker 7.5, Koscielny 7, Monreal 7, Coquelin
7.5, Oxlade-Chamberlain 6 (Rosicky 66, 7), Ramsey 7 (Flamini 84),
Cazorla 7, Sanchez (Gibbs 84), Giroud 8.
Wachezaji ambao hawakucheza: Szczesny, Ozil, Walcott, Chambers.
Waliopata kadi: Koscielny,

Post a Comment