Taswira
mbalimbali za WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini na maeneo ya jirani katika
zoezi la kupokea orodha ya majini ya WanaCCM waliomdamini Mh. Edward
Lowassa.
WanaCCM wa Kinondoni wakisikiliza kwa Makini Salamu za Mh. Lowassa.
Dereva akipuliza tarumbeta kuonyesha furaha yake kwa Mh. Lowassa.
Jiji la Dar
leo ilikuwa ni shangwe tupu kwa kila alieweza kumuona Mh. Lowassa
akipita kwenye njia zilizo jirani na maeneo yao ya kazi.
Sehemu ya Vijana wa CCM wakifatilia kwa makini salam za Mh. Lowassa.
Kwa Hisani ya Haki Ngowi Blog
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Monday, June 29, 2015
Post a Comment