Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard
Kamilius Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi
Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo
Tarehe 25-08-2015 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa
Waziri Bernard Membe akizungumza na Balozi Mteule wa Switzerland hapa
nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwake jijini Dar es
Salaam.
Balozi
Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), wakati alipokua akiwasilisha
nakala ya hati zake za utambulisho leo Tarehe 25-08-2015
Mazungumzo
yakiendelea huku Msaidizi wa Waziri Bw. Thobias Makoba (kulia)
akisikiliza na kufuatilia mazungumzo hayo na Afisa wa Mambo ya Nje Bi.
Olivia Maboko (kushoto) naye akifuatilia mazungumzo hayo.
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard
Kamilius Membe (Mb), akiagana na Balozi Mteule wa Switzerland hapa
nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo Tarehe 25-08-2015 ofisini
kwake jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
===========
PICHA NA REUBEN MCHOME.
Post a Comment