Mgombea
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama
mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja
vya Sokoni Majengo.
Mgombea
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye
viwanja vya Sokoni Majengo ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Tanzania
mpya atakayoiongoza itakuwa ya viwanda hivyo fursa za ajira
zitaongezeka.
Mgombea
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha ilani
ya CCM mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye kwenye mkutano
wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye
viwanja vya Sokoni Majengo
Mgombea
ubunge jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akihutubia mbele ya Mgombea
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za
CCM uliofanyika kwenye
viwanja vya Sokoni Majengo
Ali Kiba na wacheza show wake wakishambulia jukwaa kwenye viwanja vya Sokoni Majengo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Wakazi wa Mtama wakiwa na shangwe kwenye mkutano wa kampeni za CCM. Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mpilipili ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Magufuli anatosha kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkwe wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za uliofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili.

Post a Comment