Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo
la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani Kilimanjaro jioni ya
leo.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-KILIMANJARO.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na CCM katika mkutano huo.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa CCM
ndani ya jimbo la Arumeru Mashariki,ndugu John Daniel Pallangyo,kweye
mkutano wa kwampeni uliofanyika katika uwanja wa Ngareselo (USA
River),jijini Arusha.
Mmoja wa wajumbe wa timu ya ushindi ya kampeni za CCM,Dkt Emmanuel
Nchimbi akimnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,kweye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM,Sanya
Juu,mkoani Kilimanjaro.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo
la Siha,Ndugu Aggrey Mwanri mbele ya wakazi wa Siha (hawapo
pichani),waliokuwa wamekusanyika katika uwanja wa CCM kwenye mkutano wa
kampeni
Sehemu ya Umati wa Wananchi wa mji wa moshi waliofika katika viwanja
vya mashujaa wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,leo jioni kwenye mkutano wa kampeni,mkoani Kilimanjaro.
Magufulika Style inavyozidi kushika kasi,Davis Mosha mgombea ubunge jimbo la Moshi mjini na madiwani wa Moshi mjini wakimagufulika jukwaani kuonyesha ukakamavu wao.
Sehemu
ya Umati wa Wananchi wa mji wa moshi waliofika katika viwanja
vya mashujaa wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,leo jioni kwenye mkutano wa kampeni,mkoani Kilimanjaro.
Katika
mkutano wake wa Moshi mjini Dkt. Magufuli amewaonya
watendaji wa Shirika la Umeme nchini TANESCO na kuwaambia kama wanazima
umeme makusudi ili kuwafanya wananchi waichukie serikali wanafanya
makosa na ole wao kwa vitendo hivyo visivyo vya kistaarabu, Amewaambia
kwamba bado siku 17 za kampeni akichaguliwa na wananchi na kuapishwa
kuwa Rais atawashughulikia ipasavyo kwani wanajulikana. “Katika
siku hizi zilizobaki watubu wafanye kazi usiku na mchana ili umeme
upatikane bila kukatika na
kuleta adha kwa wananchi vinginevyo akiingia Ikulu atalala nao
mbele”,alisema Dkt Magufuli huku uwaja mzima ukilipukwa kwa mayowe.
Sehemu ya Umati wa Wananchi wa mji wa moshi waliofika katika viwanja
vya mashujaa wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,leo jioni kwenye mkutano wa kampeni,mkoani Kilimanjaro.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi
CCM Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia umati wa Wananchi wa mji wa moshi
waliofika katika viwanja
vya mashujaa Kumsikiliza alipokuwa akijinadi na kuwaga sera zake katika
kuomba kura za kuwania nafasi ya Urais kwa kipindi cha awamu ya
tano,kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Sehemu
ya Umati wa Wananchi wa mji wa moshi waliofika katika viwanja
vya mashujaa wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,leo jioni kwenye mkutano wa kampeni,mkoani Kilimanjaro
alipokuwa akijinadi na kuomba kura za kutosha ili aibuke kuwa Rais wa
Tanzania wa awamu ya tano,katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt
John Pombe Magufuli akihutubia umati wa Wananchi wa mji wa moshi
waliofika katika viwanja
vya mashujaa Kumsikiliza alipokuwa akijinadi na kuwaga sera zake katika
kuomba kura za kuwania nafasi ya Urais kwa kipindi cha awamu ya
tano,kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombe
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisoma mabango aliyokuwa
yamebebwa na baadhi ya wafuasi wa chama cha CCM,wakati akiwasili kwenye
uwanja wa mkutano wa kampeni ndani ya jimbo la Arumeru Mashariki (Usa
river),uliofanyika katika uwanja wa Ngareselo mkoani Arusha.
Baadhi
ya wakazi wa USA River wakiwa wamekusanyika kwenye
uwanja wa mkutano wa kampeni ndani ya jimbo la Arumeru Mashariki,katika
uwanja wa Ngareselo,kumsikiliza Mgombe Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akijinadi sera zake
Kiongozi wa Msafara wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM,Ndugu Abdallah Bulembo akisalimiana na kada wa CCM,aliyekuwa mkuu wa kwanza wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ), Jenerali Mirisho Sarakikya huku Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufulia akishuhudia tukio hilo
Baadhi
ya wakazi wa USA River wakiwa wamekusanyika kwenye
uwanja wa mkutano wa kampeni ndani ya jimbo la Arumeru Mashariki,katika
uwanja wa Ngareselo,kumsikiliza Mgombe Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akijinadi sera zake za kuomba kuwania nafasi ya
Urais.
Baadhi ya wakazi wa USA River wakishangilia jambo kwenye
uwanja wa mkutano wa kampeni ndani ya jimbo la Arumeru Mashariki,katika
uwanja wa Ngareselo,wakati Mgombe Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akijinadi sera zake na kuomba kuwania nafasi ya
Urais.
Wananchi
wa wilaya ya Siha wakimsikiliza Mmoja wa wajumbe wa timu ya ushindi ya
kampeni za CCM,Dkt Emmanuel Nchimbi alipokuwa akimnadi Mgombea Urais wa
CCM Dkt John Pombe Magufuli,kweye mkutano wa kampeni uliofanyika katika
uwanja wa CCM,Sanya Juu,mkoani Kilimanjaro.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,akijinadi mbele ya wakazi wa
wilaya ya Hai,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye stendi ya
Malori ndani ya mji wa Boma ng'ombe,mkoani Kilimanjaro
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Jonh Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo
Moshi Vijijini Dkt Cyril Chami pamoja na madiwani ndani ya mji wa Uru
Shimbwe,kwenye mkutano wa kampeni
Post a Comment