Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAJUTO NI MJUKUU MSELA MAJUU AMUIBUKIA OPRAH WINFREY

Calvin Mitchell(Kushoto) akizungumza na Oprah
 Calvin Mitchell akiwa ameshikilia picha ya Oprah

Shule aliyokuwa amelipiwa Calvin Mitchell ili asome na Oprah ambapo aliamua kuacha shule akiwa na umri wa miaka 17 

Oprah amesema Calvin Mitchel sio mtoto wake wa kumzaa ila alikutana na familia yake miaka ya 90 ndipo alipoamua kumsaidia kijana huyo aweze kusoma.Hivyo akachukua jukumu hilo kwa kumuandikisha katika shule binafsi lakini baadae kijana huyo alifukuzwa shuleni hapo.

Baadae aliamua kumtafutia shule nyingine ya boarding huko Mississippi lakini Mitchell aliamua kuacha shule akiwa na miaka 17 na baada ya hapo aliamua kuachana naye.

Mitchel aliamua kumtafuta Oprah mwaka huu tarehe 15/10/2015 ili aweze kumsaidia kutokana na ugumu wa maisha.

CHANZO:Daily Mail


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top