Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MUEMBETANGA YAVAMIWA NA POLISI ZANZIBAR

Siku ya Jumanne oct 27,2015 usiku vikosi vya serikali ya mapinduzi zanzibar vilingia katika maeneo ya Muembe Tanga karibu na Makao Makuu ya CUF Mtendeni na kufyetua risasi juu na kupiga watu kwa magongo huku wakivunja madirisha na milango ya nyumba tatu katika eneo hilo la Mwembetanga. Mwandishi wetu Salma Said alitembelea eneo hilo na kuzungumza na Mama Bimkubwa Mussa, Mwalimu wa Madrasa mwenye umri wa miaka 75 na kwanza ameeleza kilichotokea.Sikiliza matangazo yetu ya hivi punde.

Huku muda ukiyoyoma kuelekea siku ya mwisho kabisa kisheria ya kutangazwa kwa matokeo ya urais Zanzibar, vyama vidogo vidogo vilivyoweka wagombea wa urais katika uchaguzi huo vinaishinikiza tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC kutoa matokeo haraka ili kuiyepusha nchi kuendelea kuwa katika hali ya sintofahamu. Sikiliza matangazo yetu ya leo mchana.

SOURCE:DW KISWAHILI

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top