Ofisi
ya kata ya Sandali ya Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam imechomwa
moto baada ya wananchi kudai kutangaziwa matokeo,hali iliyozusha hofu
na jeshi la polisi kupiga kambi eneo hilo kwaajili ya ulinzi,ambapo
jeshi la zimamoto limefanikiwa kuzima moto huo.
CHANZO:EATV
Post a Comment