Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BAWACHA ZANZIBAR WALIANZISHA WAANZA KUSHUSHA BENDERA ZA CHAMA KISA VITI MAALUM

Baraza la wanawake la CHADEMA Zanzibar laanza kufunga ofisi za chama hicho visiwani humo kupinga walichokiita unyonyaji kwa kupinga uteuzi viti maalum.

Baadhi ya Mikoa ya Pemba na Unguja wameanza kushusha bendera za CHADEMA, hawakubaliani na uteuzi wa viti maalum.

Wanadai Zanzibar ilitakiwa ipate nafasi tano za Viti maalum.

Makamu mwenyekiti wa BAWACHA Zanzibar Hamida Abdallah Aweshi amesema wamechoka na ukandamizaji na maamuzi yaliyofikiwa na Chama hicho kutokana na mgawanyo wa hafasi za Viti maalum vya Ubunge, amesema makao makuu ya CHADEMA wamekataa kusikilizwa kilio chao. Amesema wamekosa sehemu ya kupeleka kilio chao.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top