Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HUKO KIGAMBONI MAMBO SI MAMBO

Kivuko cha MV Magogoni leo asubuhi kimepata hitilafu na hivyo kushindwa kufanya kazi ya kuvusha watu kutoka na kwenda Kigamboni Hali ambayo imefanya shughuli mbalimbali kusimama kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo.

Hali hii imesababisha baadhi ya watu kutumia mitumbwi ya wavuvi kuvuka
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top