Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NANI ANAFAA KUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA



Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 84(1) inafafanua kuwa “Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni wabunge au mwenye sifa za kuwa mbunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge”.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 84(2) inaeleza kuwa “Waziri, naibu waziri au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote, itakayotajwa na sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya ibara hii, hataweza kuchaguliwa kuwa Spika.

===========
Updates Jana - 12 Nov, 2015

Waliochukua fomu ya kuwania kiti cha spika mpaka sasa ni

Chama cha Mapinduzi

1.Leonce Mulenda

2.Samwel Sitta

3.Gosbert Blandes

4.Dr. Kalokola Muzzammil

5.George Nangale

6.Banda Sonoko

7.Simon G. Rubugu

8.Balozi Philip Marmo

9.Dr Emmanuel J. Nchimbi

10.Julius Pawatila

11.Dr Tulia Ackson

12.Mwakalila K. Watson

13.Dr Didas J Masaburi

14.Mrs. Rita Mlaki

15.Miss Veraikunda Urio

16.Chelestino S. Mofuga

17.Agnes Festo Makune

18.Abdullah Ali Mwinyi

19. Job Yustino Ndugai (Mbunge)

20.Dr Medard Matogolo Kalemani (Mbunge)

=> Waliochukua fomu za kuwania kiti cha spika kwa upande wa CCM ni makada 21 na waliofanikiwa kurudisha ni makada 20 tu, Prof Costa Rocky Mahalu, ambaye mpaka muda wa mwisho wa kurudisha fomu hakuwa miongoni mwa waliorudisha fomu.

Kwa upande wa UKAWA mpaka sasa bado hawajatoa jina la mgombea wao kutoka kambi hiyo.
Kati ya waliorudisha fomu, makada wasio wabunge wa bunge la Jamhuri ni 18 na wabunge ni 2.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top