Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa Kituo cha sheria na haki za Binadamu Bi.Hellen Kijo Bissimba aliyelazwa katika Hospital ya AgaKhan mapema leo kufuatia ajali ya gari aliyopata jana katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam pia Dk Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kusalimia wagonjwa wodini.
Loading...
Home
» RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
» NEWS ALERT:MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment