Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA MGOMBEA WA CUF MAALIM SEIF IKULU YA DAR ES SALAAM

 Leo Rais Kikwete amefanya mazungumzo Ikulu Jijini Dar na Makamu wa kwanza wa Rais na Mgombea Urais(CUF) Maalim Seif-Zanzibar kuna mkwamo wa kisiasa baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta uchaguzi uliokwishafanyika na matokeo kuanza kutangazwa
Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo yao IKULU
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top