CBK ilipinga vikali ombi la benki ya Imperial kukubaliwa kufungua
biashara tena. Pia CBK ilipinga hatua ya benki hiyo kuiziua ikiendelea
na uchunguzi wake.
Bw Patrick Ngugi Njoroge, gavana wa Benki Kuu ya Kenya akihutubu awali. Picha/MAKTABA
“Ni wenye hisa wa benki hiyo waliojaribu kuwahonga wafanyakazi wa CBK ndipo waikubalie ifungue biashara yake tena.
Hakuna njia CBK inaweza kudai mlungula wa Sh20 bilioni wakati wachunguzi
wetu waligudua kulikuwa na ufisadi wa Sh38 bilioni katika benki hiyo,”
CBK imefichua.
Kwa mujibu wa CBK wenye hisa hawataathiriwa kwa njia yoyote ile hata
korti ikikataa kufungua tena benki hiyo iiyowekwa chini ya mrasimu
kulinda haki za wenye hisa na kutunza maslahi ya umma..
Via swahilihub.com
Post a Comment