Watani wetu wa jadi wamezidi kuutangazia ulimwengu kuwa vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania vipo nchini mwao.Baada ya kutangaza Olduvai Gorge na Mlima Kilimanjaro upo kwao,watani wa jadi wameenda mbali zaidi kwa kutumia jina la Mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika kwenye ndege zao.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment