Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ZEE UDAKU: HABARI MBAYA KWA BOSSLADY A.K. MAMA TIFFAH

Kupitia Mtandao wa Instagram Siri Nzito nzito zinaendelea kuwekwa wazi kuwa kuna siri nzito kuwa Mwanamuziki Diamond Platnumz anatoka na mrembo Officiallyyn ambaye ameonekana kwenye video ya Msanii mpya wa WCB Raymond kwenye wimbo wake Kwetu....Chanzo cha habari hii kinasema Diamond na Msanii huyo walianza kutoka muda toka mwaka jana...Inasemekana imefikia mpaka mrembo huyo amejichora Tattoo ya Simba mgongoni kwake ambalo ni jina la analojiita Diamond..
Inasemekana Mrembo huyo Lyyn kwa Sasa anapokea michambo ya nguvu na Vitisho kutoka kwa Team Zari huku...Moja ya Kitisho ni Hichi hapa Chini kutoka Instagram

Wakati wengine wakirusha madongo kwa Diamond na Mrembo huyo Wengine wanampongeza Diamond kwa kuopoa kitu kizuri....
Soma Huyo Alichoandika:
Nataka_shari 
"UMEJUA KUCHAGUA
Asanteeeeeee @diamondplatnumz c kwa uchaguzi huu kabla hujampata huyu ndo MZURI uliyemmiss kwa hawarakikongwe unakuza tuu mtoto wa jirani yetu_ila mnambemenda mtoto we unapiga mama anachakazwa bila kukaedit katoto kanatia hurumasema video queen moyoni ashakutia DOA na hulitoi hata kwa jiki hahaa ila domo unaroho mbaya video queen umempangia mjengo katulia tuli Bibi nae ungempangia gheto south aache habari ya ntombe nilale huyu video queen wa msanii wako RAY n saluuuuutemtoto Hana makunyanzi usoni kama hawarakikongwe bila kuedit picha kuwa ya njano hapost @zarithebosslady unaswaga za kitoto unaedit picha kama upinde wa mvua tokea lini we Ukawa rangi sawa na majani yaliyopigwa juahahaha yamebaki mapenz ya insta moyoni network haisomi hureee wapi Lyn Mkali wako @zarithebossladyDOMO WE NI MFUNGWA ULIYESHINDIKANA UNAIBA MPK JELA SIJUI WATAKUFUNGA WAPI"
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top