Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

PICHA LIVE ZA MASTAA SHILOLE NA VANESA MDEE WALIVYOPIGA SHOO YA PAMOJA JANA USIKU
Dakika chache kabla ya Show Vanessa Mdee akiwa backstage alinukuliwa akisema“Kiukweli haukuwa ugomvi bali tulijaribu kuwaonesha watu kuwa usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, namuheshimu sana Shilole katika kazi zake, lakini baada ya sisi kufanya vile watu walionekana kama wanataka kuona sisi tukigombana”

Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo.


Vanessa alimsurprise Shilole On Stage kwa kumletea zawadi ya ugali kwenye stage kumuonyesha yeyey ni mtoto wa ugali ndondo.Hakuna cha bifu wala nini sie ni kazi tu hapa ,, ni kama ndivyo wanavyosema V Money na Shishi baby.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top