Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CAF:KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA ST.LOUIS FC YA SHELISHELI

Kikosi cha Yanga SC dhidi St.Louis FC ya Shelisheli 1. Rostand 2. Kessy 3. Gadiel 4. Nadir 5. Yondani 6. Makapu 7. Pato 8. Tshishimbi 9. Pius 10. Ajib 11. Martin

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara, klabu ya Dar es Salaam Young Africans imekitaja kikosi kitakachoingia uwanjani hii leo huko Shelisheli kuivaa timu ya St Louis kaika michuano ya klabu bingwa barani Afrika CAF.

Mabingwa hao wa Tanzania Bara watashuka dimbani huku wakiwa na kumbukumbu ya kuchomoka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya St Louis katika mchezo wa awali uliyopigwa jijini Dar es Salaam hivyo Yanga waatalazimika kutoka sare au ushindi ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top