Ni katika hafla ya kumkaribisha Rais wa Liberia George Weah, Rais wa chama cha soka africa (CAF) Ahmad, alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa katika hafla hiyo France, Emmanuel Macron, iliyofanyika tarehe 21 February 2018, katika Jumba Elysée Jijini Paris. Rais wa FIFA Gianni Infantino pia alialikwa . Katika hafla hiyo, Rais wa Ufaransa Macron alitangaza kuweka jukwaa la kusaidia Soka la Afrika ambalo litaratibiwa kati ya African Development Bank na French Development Agency.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment