Liverpool wataikabili PSG mnamo Septemba 18 katika mechi ya ufunguzi UEFA mechi za makundi.
Kiungo wa PSG Marco Verratti atakosa mechi ya kwanza nyumbani kwa Liverpool huku kipa mkongwe Gianluigi Buffon naye akiangukia adhabu hiyo.
PSG watakuwa imara, wakiwategemea washambuliaji watatu Kylian Mbappe, Neymar na Edinson Cavani.
Huku Liverpool wakiwa tegemea Virgil van Dijk, Alisson na Joe Gomez kukabiliana na wimbi la washambuliaji hao.
Post a Comment