
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, aliwasilisha
makadirio ya matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha wa 2012/13.Leo Bunge limepitisha
Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nyumba na Maendeleo na Makazi....(Mapato na
Matumizi ) BaJeti ya Wizara Imepitaaa asbuhi ya hii ya Leo baada ya mapambano ya hoja toka
kwa wabunge haasa suala la ardhi ndilo lilikuwa changamoto kubwa kwa Wizara hiyo.
Post a Comment