
1.Serikali ya Tanzania imesema itahakikisha kambi za wakimbizi wa Burundi hapa nchini zinafungwa na wakimbizi wanarudi kwao...
2.Taarifa ya utekelezaji wa mikakati ya kudhibiti malaria imeonyesha kuwa imechangia kupunguza vifo vya watoto kwa 45%.
3.Bunge limeelezwa kuwa kiwanda cha TCCCO kilichopo mjini Moshi kinakabiliwa na madeni yaliyofikia zaidi ya millioni 737.22.
4.Madiwani wameelezwa kuwa ni chombo cha usimamizi na uamuzi katika ngazi ya halmashauri na si vyema kuwa wakaguzi...
Post a Comment