

Basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na basi la Dar Express lililokuwa linatokea Arusha kuelekea Dar es Salaam maeneo ya Wami haikujulikana mara moja chanzo/sababu za ajali hiyoPicha via Michuzi Blog
BREAKING NEWS:
Imetokea ajali eneo la Wami kati ya Mabasi ya Dar Express na basi la Simba,na majeruhi kupelekwa hospitali ya Chalinze kwa matibabu zaidi.

Post a Comment