
1.Idara ya Elimu wilayani Kilindi, imetishia kuwafukuza kazi walimu watakaogoma kwenda kufundisha vijijini kwa madai ya kukosa nyumba
2.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Shukuru Kawambwa, amesema udanganyifu umechangia wanafunzi kutojua kusoma na kuandika
3.Wasafiri wanaotoka Arusha - Simanjiro wameitaka SUMATRA kutopanga siku za kusafiri na badala yake wasimamie bei elekezi ya naul
4.Zaidi ya wanafunzi 300 waliofaulu kuingia kidato cha I katika Tarafa ya Nansimo-Bunda-Mara hawajaripoti kwenye shule walizopangiwa
5.waziri wa miundombinu na mawasiliano znz Hamad Masoud Hamad amejiuzulu,ambapo Rashid Seif Suleiman ameteuliwa kuchukua wadhifa huo.
6.serikali imesema hakuna mgao wa umeme hadi Desemba mwaka huu kutokana na akiba ya umeme ya MW 873 kati ya MW 650-720 zinazohitajika.
7.Polisi Mkoa wa kipolisi Temeke DSM,inatuhumiwa kuwakamata wakazi wa eneo la Changuru Buza kwa madai ya kushiriki vitendo vya wizi.
Post a Comment