
UPDATE:Toka Uwanja Mkuu wa Taifa
Dakika 7: Felix Sunzu anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumcheza madhambi mchezaji wa Azam
Dakika 12: Simba wanapoteza nafasi ya wazi
Dakika 13: Ramadhan Chombo Redondo anaingia kuchukua nafasi ya Kipre Bolou Michael
Dakika 17:John Boko anaipatia Azam goli
HALF TIME: Simba 0-1 Azam
Dakika 46: GOAL: Simba 0-2 Azam (John Boko)
Dakika 53: GOAL: Shomari Kapombe anaipatia Simba 1-2 Azam.
Baada ya goli la Shomari Kapombe mashabiki wa Simba wanaonekana kupata uhai, full shangwe uwanja wa Taifa
Dakika ya 70:Simba 1-2 Azam
Dakika 72: Goal Simba 1-3 Azam. Muuaji ni yule yule John Bocco
Dakika 83:Simba1-3 Azam
Mashabiki wa Simba mmoja mmoja wanaonekana wakitoka Uwanjani wakiwa wamekasirishwa
mno na matokeo haya japo mpira bado lolote laweza tokea.
Dakika 85: Goli la Felix Sunzu linakataliwa, alikuwa offside
FULL TIME SIMBA 1-3 AZAM
Post a Comment