Moto ulikuwa unawaka kwenye Meli ya Sahara II iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda
Mafia ikiwa na shehena ya mafuta ya dizeli mali ya TANESCO ulioanza kuwaka kutoka katika lori
moja lililokuwa limebebwa ndani ya meli hiyo umezimwa na wananchi pamoja na vikosi vya
usalama wilayani Mafia.Lori hilo linasadikiwa lilikuwa na hitilafu kwenye mfumo wake wa umeme
hivyo kusababisha moto huo.
Habari za mwanzo zilidai Meli hiyo ilikuwa na abiria habari ambazo zilikanushwa.
Chanzo:TBC Habari Jioni hii.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment