
1.Baadhi ya wafanyabiashara wa vyakula DSM wamedai kutopandisha bei vyakula vya futari kwa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
2.Walinzi shirikishi wa Mburahati Jijini DSM, wamegeuza mti kuwa ofisi ,kwa kukosa ofisi rasmi pamoja na vitendea kazi vya kulindia.
3.Mkuu wa Mkoa wa Pwani, MWANTUMU MAHIZA ameipa siku 2 CORECU - kumpatia majina ya vyama vya msingi visivyolipa wakulima wa korosho.
4.Wakufunzi 176 wanaopata mafunzo ya sensa Mkoani Kilimanjaro wameshiriki mafunzo hayo kwa vitendo .
5.Wazazi wametakiwa kuwaonya watoto wao kutokucheza chini ya nguzo na nyanya zinazopitisha umeme mkubwa ili kuokoa maisha yao.
Post a Comment