Wakiwa na nyuso za tabasamu Anganile Sanga(Kushoto) akiwa na matroni wake Merysiana Mhagama wakiwa wamependeza vilivyo katika shughuli hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro Park
Waweza sema tabasamu ndio nyumbani hapo kwani kama uonavyo haliishi kwenye nyuso zao walipokuwa ukumbini humo wakifuatilia kwa makini yale aliyokuwa akielekezwa hiyo ilikuwa jana Jumapili
Kucheza kwataka nafasi jamaniii..!!(ni kama vile anamuambia alie nyuma yake hapo) Pale burudani iliponoga kila mtu akijaribu kuonyesha umahiri wake wa kucheza.NI katika kicheni pati ya Bi.Anganile Sanga iliyofanyika katika Ukumbi wa Kilimanjaro Park maeneo ya Sinza iliyofana vilivyo.Anatarajiwa kufunga pingu za maisha Jumamosi tarehe 21.07.2012.
Picha na Mdau wa Blog.
Picha na Mdau wa Blog.
1 comments:
Mkuu.Mi namtakia kila la kheri huyu mdada Anganile.
ReplyPost a Comment