
Bibi harusi mtarajiwa Anganile Sanga akitabasamu alipokuwa Saloon


Mambo ya unywelee hapo...chezea wao !!

Wakiwa na nyuso za tabasamu Anganile Sanga(Kushoto) akiwa na matroni wake Merysiana Mhagama wakiwa wamependeza vilivyo katika shughuli hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro Park

Waweza sema tabasamu ndio nyumbani hapo kwani kama uonavyo haliishi kwenye nyuso zao walipokuwa ukumbini humo wakifuatilia kwa makini yale aliyokuwa akielekezwa hiyo ilikuwa jana Jumapili


Akiwaongoza wageni waalikwa kupata chakula kilichoandaliwa kwa ajili yao

Mambo ya madikodiko hayo yakiwa ya kutosha

Bibie Anganile Sanga akipata chakula

Merysiana Mhagama akipata chakula huko akitabasamu vilivyo

Kucheza kwataka nafasi jamaniii..!!(ni kama vile anamuambia alie nyuma yake hapo) Pale burudani iliponoga kila mtu akijaribu kuonyesha umahiri wake wa kucheza.NI katika kicheni pati ya Bi.Anganile Sanga iliyofanyika katika Ukumbi wa Kilimanjaro Park maeneo ya Sinza iliyofana vilivyo.Anatarajiwa kufunga pingu za maisha Jumamosi tarehe 21.07.2012.
Picha na Mdau wa Blog.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Monday, July 16, 2012
1 comments:
Mkuu.Mi namtakia kila la kheri huyu mdada Anganile.
ReplyPost a Comment