Watu wako kazi ujenzi unaendelea kila mahala ni milio ya nyundo,kazi imepamba moto kila siku ujenzi unaendelea.....kila siku barabara zinajengwa.....na maghorofa kila siku yanajengwa.....Huyu ni mlinzi ambae huangalia usalama wa vifaa vya ujenzi akiwa yupo lindo kauegemeza mwili upate kupumzika kikubwa hapo ni kausingizi kanakomsumbua kanukuja na kuondoka kisa ni kelele zilizopo hapo barabara ya Morogoro huku mitambo ekiendelea kulia kutokana na kazi iliyopo hapo.
Picha na Yoel Mshana.
Picha na Yoel Mshana.
Post a Comment